» »Unlabelled » Ban Ki-moon akosoa pendekezo la Netanyahu kuhusu upanuzi wa makazi ya Israel

Ban Ki-moon akosoa pendekezo la Netanyahu kuhusu upanuzi wa makazi ya Israel


Mshirikishe mwenzako
Upanuzi huo ni kinyume na sheria za umoja wa mataifa
Image captionUpanuzi huo ni kinyume na sheria za umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki-moon amemkosoa vikali waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa pendekezo lake kwa wale wanaopinga upanuzi wa makazi ya Israel kuwa wao ni wafuasi wa kikabila.
Ban Ki-moon amesema kuwa maoni ya Netanyahu hayakubaliki na ni ya kichochezi.
Ban Ki-moon ambae anaondoka madarakani mwisho wa mwaka huu amewakumbusha Israel kuwa upanuzi huo wa makazi sio halali chini ya sheria ya kimataifa, na kwa lugha ya ukali Ban Ki-moon alisema Urusi lazima imalize ukandamizaji na uvamizi wa maeneo ya Palestina.
ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU WATARIFU NA WENZAKO KARIBU TENA

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles