Tuseme angalau hata 29 Unapata mtoto ukiwa na miaka 30, mtoto baada ya miaka 6 anaanza darasa la 1, wewe unamiaka 37. Anamaiza la 7 ww una miaka 44. Anamaliza form 4 ww una miaka 48. Anamaliza form 6 ww una miaka 50. Anajiunga na JKT ww una miaka 51. Anamaliza chuo kikuu (maximum miaka 4) ww una miaka 55. Anatafuta kazi na kuanza kujitegemea mwaka 1, ww una miaka 56. Hapo tufanye hajafeli wala kurudia vidato. Huyo ndio first born wako. Usisahau Life expectancy ya Tanzania ni miaka 52. Unadhani utafaidi kuona hata matunda ya mwanao je utapata mjukuu?? Kwanini usifanye sasa tangu unapo uona ujumbe huu?? Nenda kaongee na mpenzi wako Mfikie maamuzi
HASARA YA KUOA UKIWA NA MIAKA 30
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment