» »Unlabelled » DALILI TATU ZINAZOONYESHA MTU ATAKAYECHELEWA KUFANIKIWA.

DALILI TATU ZINAZOONYESHA MTU ATAKAYECHELEWA KUFANIKIWA.

1)Mtu ambaye yuko bize tangu asubuhi kufanya mambo mbalimbali, lakini katika hayo hakuna chochote anachofanya kinachochangia kumsaidia kupiga hatua kuelekea katika malengo yake makuu aliyonayo.

2)Mtu ambaye watu wote wanaomzunguka wana uwezo mdogo wa mawazo,kifedha na kiufahamu wa mambo mbalimbali. Kiufupi yeye ndiye bora kuliko wote wanaomzunguka na hafanyi juhudi kuzungukwa na watu walio juu Zaidi yake.

3)Mtu ambaye kile alichokuwa anakijua mwanzoni mwa mwaka hakina tofauti na kile ambacho anakijua leo.Kiufupi ni kuwa hajaongeza maarifa yoyote katika yale ambayo amekuwa nayo siku Zote.Ukiona siku hadi inaisha haujajifunza kitu kipya ujue unaelekea kushindwa katika malengo yako.

UNATAKA KUFANIKIWA?ZIEPUKE DALILI HIZI.

See You At The Top.

www.JoelNanauka.com

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles