» »Unlabelled » Kundi la waasi la FARC kusitisha mapigano Colombia

Kundi la waasi la FARC kusitisha mapigano Colombia


Kundi la waasi la FARC limekuwa likipigana tangu mwaka 1964 na kusababisha mamilioni kuwa wakimbizi
Image captionKundi la waasi la FARC limekuwa likipigana tangu mwaka 1964 na kusababisha mamilioni kuwa wakimbizi
Miaka minne baada ya kuanza kwa mazungumzo ya amani, kundi kubwa la waasi nchini Colombia -the FARC- limetangaza kusitisha mapambano na serikali. Kiongozi wa kundi hilo la FARC, ajulikane kama Timochenko, amewaamuru wapiganaji wake wote kusitisha mapigano kuanzia usiku wa kuamkia leo.
Amesema, vita hivyo vya muda mrefu dhidi ya dola vimeisha. Mwandishi wa BBC nchini Cuba amesema tangazo hilo ni la kihistoria kwa kuwa umemaliza mgogoro uliodumu kwa takribani zaidi ya miaka hamsini na kusababisha vifo vya watu laki mbili na elfu sitini na mamilioni kuwa wakimbizi.
Timochenko pia ataitisha mkutano wa mwisho na Kundi lake la FARC ambapo wakala anaewakilisha wapiganaji wa kundi la FARC atadhibitisha mkataba wa amani waliokubaliana na serikali.

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...