» »Unlabelled » AY NYARUGUSU SDA WAKIHUDUMU KWENYE MAKAMBI YA RODAN SECONDARY MWANZA



HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA VIJANA WA AY NYARUGUSU 
 Nivijana wanao jitoa sana kwa kazi ya Mungu wanaimba vizuri Mungu awabariki sana 
Jana nilifanikiwa kuongea namoja wa waimbaji aliyejitambulisha  kwa jina la Zabrom akawa nahaya yakusema Tuko tayari kufanyakazi popote yauimbaji maana ndio wito wetu akaongeza kusema
wamebarikiwa na vikundi mbali mbali vya mwanza vikiwemo vya hapo hapo Rodan na Kakebe S.d.a bila kusahau kwaya ya igoma na kakebe akaongeza nao wamejifunza vingi kutoka kwa wachungaji pia.

 ukiwahitaji kwa huduma uwasiriane na uongozi au unaweza kuwasiriana naye kwanamba

0742433700



kumbuka ukibariki mtu nawewe unabarikiwa
Pata habai zote za waimbaji hapa


Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles