» »Unlabelled » ASSA MWANZA KASKAZINI


Hiki nichama cha wanafunzi wakisabato kwa shule za secondary wanafanya kazinyingi zikiwemo uinjirist uimbaji kutoa misaada ya kijamii na kujitolea katika Bwana na hii nikwaya ya vijana wa kisabato wanafunzi wa shule za secondary za Mwanza kasikazini 
nimiongoni mwa kwayanyingi zinazofanya vizuri hapa mwanza nakumbuka kupitia kwaya hii wamo watu waliowahi kuimbia kwaya hii na kuwaviongozi ndani ya kwaya hii kwa sasa niwatu mashuhuri na wengine ni wachungaji Akiwemo MCH: MALIMA walio wahi kuimbia kwaya hii mwaka 2009/2010 tunakubaliana na mimi pia niwachapa kazi wakotayari kwa huduma ukiwahitaji wasiriana na mimi nitakuunganisha nao pia tuwaombee maana niwanafunzi 
hapa walikuwa Shinyanga kwenye mtutano uliofanyika wiki mbili zilizopita na watu wengi wa shinyanga walibalikiwa na kwaya hii 

kama kawaida mkiwa waimbaji hamkosi marafiki hapa nikwaya mbili moja ya huko huko shinyanga


BAADA YA HUDUMA WAKIFRAHI NDANI YA YESU

WAKIWA JUKWAANI

BARIKIWA NA BWANA UNAPOWAOMBEA VIJANA HAWA ILI WAFIKE MBALI
Natumia nafasi hii kuwaomba wanafunzi wote ambao hawajajiunga na chama cha assa wafanye hivyo sasa maana Mungu anahitaji huduma yao uko hivyo ni kwasababu



Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles