KUWA BILLIONAIRE KWA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII
naskitika napoona mjasiriamali anaombwa urafiki facebook anakataa kisa hamfahamu niujinga kama wewe unampango wakuwa mjasiriamali hakikisha unakuwa connected na mitandao yote lengo kujitaftia wateja wa badae chukulia hili jedwali hawa wote ni watu wako kwenye mitandao ya kijamii unadhani ukitangaza biashara yako ambayo umetengeneza kwa ubora utapata wateja wangapi?
kama wewe unahakili za kutafta pesa basi sim yako nimtaji mkubwa sana sema hujaielekeza kwenye mafanikio ebu angalia hii
Wewe nihuyo wa katikati na unamarafiki FACEBOOK angalau 200 wako sehemu tofaut tofauti swali la kujiuliza kama sio facebook hao watu ungewaona? jibu hapana je unafaida gani kutoka kwao?
Kwa zaidi ya miaka kumi sasa tangu mwaka 2006 hadi sasa kumekuwapo na ongezeko la mitandao mbali mbali ya kijamii duniani, ambayo imefanyika kuwa msaada mkubwa katika ulimwengu huu na ule wa kibiashara.
Kwa mitandao hiyo inayokuwa kwa kasi zaidi kwa sasa na wengi wenye uelewa mzuri wa matumizi yake, wamekwisha kuanza kuitumia tangu muda kwa ajili ya kukuza na kuboresha soko la biashara na huduma zao.
Kwa hiyo katika dunia ya leo mitandao ya kijamii kama vile facebook, twitter, linkedin, youtube nk. Ni mitandao pekee iliyofanyika kuwa msaada mkubwa katika biashara za watu wengi zaidi duniani nje na hapo nyuma.
Pamoja na kuwepo kwa mitandao hiyo, lakini bado katika jamii zetu kumetokea mitazamo mbali mbali juu yake. Wapo wanaoamini haswaa mitandao hii ndio ongezeko la upotevu wa maadili na ongezeko la uovu katika jamii zetu za kiafrika na dunia kiujumla. Lakini pia wapo wanaoamini mitandao hii imesaidia katika kukutanisha watu pamoja kwa njia ya kuwasiliana, kuchati na kupeana habari.
Lakini yote kwa yote hayo yanaweza kuwa sawa au si sawa, lakini la muhimu na msingi kwangu ni kutaka wewe utambue sehemu ya mitandao hii katika biashara yako na huduma yako katika jamii.
Kwani mojawapo ya matumizi makubwa ya mitandao hii duniani kwa sasa hasa katika ulimwengu wa wafanyabiashara; ni kukuza na kuongeza soko la biashara yako, wateja nk.
Hivyo hii ni fursa kamili ambayo wewe kama mfanyabiashara na mjasiriamali unayemiliki na kuanza biashara yoyote ile, huduma au kutoa bidhaa na unahitaji kukuza biashara yako sokoni.
Ni muhimu kuanzia sasa ukatumia mitandao hii kama sehemu ya kutangaza biashara yako, kujitangaza binafsi, huduma yako na hata bidhaa yako unayoizalisha kiwandani.
Ushauri wangu kwako ni kuwa; ni vyema leo uamue kujiunga katika moja ya mitandao hii ukiwa na lengo la kukuza, kuinua, na kutangaza biashara yako pamoja na kuwafikia watu wengi zaidi katika jamii.
Kwa njia ya makala hii nataka kwanza utambue mitandao 6 ya kijamii ambayo ni ya muhimu kwako kuitumia kama sehemu ya kutangaza na kukuza biashara yako zaidi na hatimaye kupata wateja wengi zaidi sokoni.
Kwa nini ni mitandao 6? Ni kwa sababu mitandao ya kijamii pekee inayoongoza hadi sasa kwa watumiaji na watembeleaji wengi zaidi duniani. Hivyo nimeona ni vyema uanze kutumia mitandao hii kama sehemu ya kuongeza na kupata wateja wapya wa bidhaa na huduma yako unayoitoa ndani ya jamii.
Ni nini cha kufanya leo? Cha kufanya sasa ni vyema uwe na kifaa cha electroniki chenye uwezo wa kutumia mtandao wa intanent kama vile kompyuta mpakato (laptop), tableti, simu ya mkononi yenye uwezo huo nk.
Kwa vifaa hivyo unaweza kutumia kama sehemu ya kuingilia katika mitandao hiyo ya kijamii, na kupata nafasi ya kuonesha huduma au bidhaa unayoitoa kwa wateja wako ndani na nje ya nchi yako kwa njia ya picha, maandishi (post) nk.
Kumbuka katika hili hakuna gharama yoyote unayoweza kuchanjiwa hasa unapotaka kujiunga na mitandao hii. Kikubwa zaidi ni kuhakikisha una barua pepe (email) maalum utakayotumia kama sehemu ya kukuunganisha na mitandao hii, sawa sawa na maelekezo ya mtandao husika unaojiunga nao.
Usiogope ni aina gani ya biashara uliyonayo iwe inaanza sasa au ulikwishaianza, iwe ndogo au kubwa nk. nakutaka uanze kufanya hivi leo na uone kitakachotokea katika biashara yako.
Hapa chini nimejaribu kukuonesha baadhi ya mitandao maarufu ya kijamii kwa sasa duniani, ambayo ni mitandao sita tu unayoweza kuitumia kwa ajili ya kutangaza na kuwafikia wateja wako popote pale walipo duniani au ndani ya jamii yako.
Kwa kukusaidia zaidi nimeweka linki ya kila mtandao husika ili uweze kubonyeza na kisha kuingia katika mtandao huo, na baada ya kujiunga na mtandao husika. Kikubwa zaidi ni wewe kufuata maelekezo ya kujiunga utakayopewa katika kila mtandao husika.
Hii ndio mitandao 6 ya kijamii unayoweza kuitumia kuongeza na kukuza soko, mauzo na wateja katika biashara yako.
Mtandao wa Kwanza:
Facebook
(Bonyeza neno hilo kujiunga na mtandao huo).

Ni mtandao maarufu zaidi wa kijamii wenye makazi yake nchini Marekani na makao yake makuu kiofisi ni Menlo Pack katika jimbo la California.
Mtandao huu ulianzishwa Februari 4, 2004 na mwanzilishi wake mkuu Mark Zuckerberg kipindi hicho akiwa katika chuo kikuu cha Harvad akishirikiana na wanafunzi wenzake ambao ni Severin, Andrew McCollum, Dustin Moskovitz na Chris Hughes.
Una watembeleaji zaidi ya milioni 890 kila siku, na watumiaji wanaokadiriwa zaidi ya bilioni 1 duniani kote.
Ni mtandao wa kwanza duniani unaotumika sana kwa sasa katika kutangaza na kuongeza ukuaji wa biashara na kampuni za watu mbali mbali duniani.
Mtandao wa Pili:
Twitter
(Bonyeza neno hilo kujiunga na mtandao huo).
Ni
mtandao wa pili wa kijamii maarufu baada ya facebook ambao unamwezesha
mtumiaji kuandika ujumbe wa maandishi usiozidi maneno 140 yanayoitwa
“tweets.”
Mtandao huu una makazi yake nchini Marekani na makao yake makuu ni San Francisco katika jimbo kuu la California. Ulianzishwa Marchi 21, 2006 na mwanzilishi wake Jack Dorsey akishirikiana na Noah Glass, Biz Stone, Evan Williams.
Una watembeleaji zaidi ya milioni 600 kila siku na watumiaji wake kupita idadi hiyo duniani kote.
Mtandao wa Tatu:
Linkedin
(Bonyeza neno hilo kujiunga na mtandao huo).

Pia ni mtandao wenye kutoa huduma ya kijamii, ulianzishwa Disemba 2002 na kuanza kujulikana zaidi Mei 5, 2003 ukihusika na kuumika kwa masuala ya kibiashara (Business Professional Networking).
Mtandao huu kama ilivyo mingine una makazi yake nchini Marekani na makao yake makuu ni Montain View katika jimbo la California. Mwanzilishi wa mtandao huu ni Reid Hoffman akishirikiana na wenzake ambao ni Allen Blue, Konstantin Guericke, Erick Ly na Jean – Luc Vaillant.
Una watumiaji zaidi ya milioni 332 duniani kote ambao ni watumiaji kamili waliojisajiri kutumia mtandao huo.
Mtandao wa Nne:
Google+

Mtandao wenye watumiaji zaidi ya milioni 540 kwa takwimu za mwaka 2013, hivyo hadi sasa naamini watakuwa ni zaidi ya milioni 710 duniani kote.
Umeanza kujulikana tangu June 28, 2011 ukiwa chini ya kampuni ile ile ya google na wamiliki wake ambao ni Larry page, Sergey Brin na Eric Schmidt; na makao yake makuu ni Googleplex, Montain view katika jimbo kuu la California nchini Marekani.
Mtandao wa Tano:
Youtube

Huu ni mtandao wa tofauti na mingine yote tuliyoitazama hapo juu. Nao ni mtandao wa kijamii ila huu unatumika zaidi na watumiaji wake kwa kuweka au kupakua video ndani ya mtandao huu.
Ulianzishwa mwaka 2005, Februari 14 chini ya waanzilishi wake Steve Chen, Chad Hurley na Jewed Krim na makao yake makuu ni 901 Cherry Ave, San Bruno ndani ya jimbo la California nchini Marekani.
Hivyo unaweza kuandaa tangazo la bidhaa zako au huduma kwa njia ya video, na kuziweka katika mtandao huu, na hatimaye wateja wako kuziona na kukutafuta ulipo.
Watumiaji wake ni zaidi ya milioni 500 kwa waliojisajiri.
Mtandao wa Sita:
Pinterest
(Bonyeza neno hilo kujiunga na mtandao huo).

Waanzilishi wake ni Paul Sciarra, Evan Sharp na Ben Silbermann na una wafanyakazi zaidi ya 300. Umeanza kujulikana zaidi Marchi 2010.
Ni mtandao unaoweza kukusanya picha, video, miziki nk. kama vile instagram, vimeo na mengineyo. Hivyo ni vyema uutumie kwa ajili ya kutangaza biashara yako zaidi.
Hivyo ndiyo mitandao bora na maarufu kwa sasa duniani kote unayoweza kuitumia kama sehemu ya kuitangaza na kuifikisha bidhaa au huduma yako kwa walengwa uliowakusudia
ukitumia kwa faida utafaidika ukitumia kijinga utaishia kupoteza mda wako bule kuanzia sasa kama unalengo la kuwa mjasiriamali mtu akikuomba urafiki facebook usikatae huenda akawa mteja wako badae

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment