» » KISA CHA KUSISIMUA KARIBU

Nashukuru nimerudi home,wife kanipokea huku analia,majirani wananishangaa,namuuliza wife unalia nn!ananijibu mume mbona umechakaa hivyo!na mwambia kule nilikuwa jela Guetanamol,mchepuko yule alikuwa hariziki Kila ninachompa,alikuwa muongo,nje alikuwa mpole,mtu wa dini,ushungi Kila saa,ila akiingia ndani anakuwa nyoka,mpaka nikawa namfananisha na kinda wa daladala,ukiwa kwenye kituo unathamani,ukiingia kwenye gari we ni boya,alikuwa ni chui aliyejivisha ngozi ya kondoo,mke wangu ananiuliza ulikuwa unan'gan'gania nn!namjibu ilikuwa sio akili zangu,mke wangu ananimbia kwakunifariji pole mume wangu,namjibu ahsante,mke wangu ananiambia ngoja nikubandikie maji ukaoge mume wangu.
Najikuta Niko kimya nikiwaza nakujiuliza!!!mbona mke wangu ni mzuri,mstaarabu na ananidhamu!kule nilikuwa nan'gan'gania nn !wakati alikuwa hapendwi mtu,inapendwa pochi,nilikuwa sisikii la mnadi swala,Wala kengele.
   Mchepuko sio dili.
   Tubaki njia kuu.
Tujali familia zetu,Sasa hivi Kuna maradhi,tusipoangalia tutawaacha watoto wetu Bado wadogo.
  Ujumbe huu ufikie wakora wote Kama WEWE

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...