» » » » MAKOSA YA KAWAIDA KWA WAONGOZAJI WENGI WA NYIMBO:


  1. Kutumia nyimbo nyingi katika kipindi kimoja.
  2. Kutumia nyimbo nyingi za zamani katika kipindi kimoja.
  3. Kuchagua ufunguo wa wimbo ulio juu sana.
  4. Kuchagua ufunguo wa wimbo ulio chini sana.
  5. Kuimba kwa ufunguo usio sahihi au kwa tyuni isiyo sahihi.
  6. Kuimba kwa sauti ya juu sana.
  7. Kuimba kwa sauti ya chini sana.
  8. Kuchagua nyimbo nyingi zinazojikita kwetu wenyewe badala ya zile zinazojikita kwa Mungu zaidi.
  9. Kuchagua nyimbo zenye maneno yanayochanganya/yanayogongana.
  10. Kuchagua nyimbo zisizokubalika kithiolojia.
  11. Kuchagua nyimbo zisizooana na wazo kuu la hubiri.
  12. Kutazamana kwa mshangao mmojawapo wa waimbaji anapokosea jukwaani na hivyo kuiathiri hadhira yote.
  13. Kutumia tu nyimbo zilizoandikwa na mtu binafsi kwa lengo la kibiashara.
  14. Kurudia sehemu moja ya wimbo mara nyingi sana.
  15. Kujazwa na msisimko usiotawaliwa muda wote wa kuwepo jukwaani.
  16. Kuimba nyimbo nyingi za haraka.
  17. Kuimba nyimbo nyingi za taratibu.
  18. Kuimba nyimbo mfululizo bila kuwa na kituo cha kufanya maombi, kusoma Maandiko, na kuishirikisha hadhira n.k.
  19. Mwimbishaji kuimba kwa sauti ya chini sana.
  20. Mwimbishaji kuimba kwa sauti nyingine badala ya sauti ya kwanza inayotumika kuimbishia.

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...