» » UHUSIANO NA MUNGU




Na mwinjilisti Joseph Njile
Mathayo 22:36-39
Japo sote tunahitaji tuwe na mahusiano mazuri na bora baina yetu; hilo sio jambo rahisi kulifanikisha.Sote tu watenda dhambi, tumepotoka, tu viumbe wenye silika ya kitabia isiyoruhusu iwe rahisi kwetu kuenenda pamoja kwa ushirikiano.
Hata hivyo kilicho muhimu zaidi mno kuliko mahusiano baina yetu, ni uhusiano baina yetu na Mungu. Yeye ndiye aliyetuumba, na ni Yeye pekee ndiye awezaye kutupatia badiliko. Ni katika kudumisha uhusiano wa karibu na Mungu ndipo aina ya mahusiano bora na wengine yaweza kupatikana.

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles