» » Katibu Mwenezi CCM ahamia Chadema

Aliyekuwa Katibu  Mwenezi wa CCM Wilaya ya Nyasa, Staniford Emmanuel amehamia Chadema kwa maelezo kuwa wakati wa ukombozi umefika.

Akizungumza mara baada ya kukabidhi kadi hiyo kwa viongozi wa Chadema, Emmanuel amesema wakati wa ukombozi umefika hivyo hana budi kuhama CCM ili aweze kutendea haki nchi yake.

“Kuna wanaCCM wenzangu bado hawajafanya maamuzi kama niliyoyafanya mimi kujiondoa na kuhamia chama cha ukombozi ambacho mimi nimekiona ni Chadema,”amesema Emmanuel

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles