» » NAFASI YA KAZI

Anahitajika Kijana wa Kiume/Kike mwenye uwezo wa kufanya yafuatayo:-

Video Shooting
Video Editing
Photo Shooting
Graphics Designing

Sifa;
Awe na uwezo wa kutumia Program zifuatazo
1. ADOBE PHOTOSHOP
2. ADOBE ILLUSTRATOR
3. ADOBE LIGHTROOM
4. ADOBE PREMERE
5. ADOBE AFTER EFFECT
6. Asije kujifunza, ila aje kufanya kazi.
7. Awe Mbunifu
8. Asisukumwe kufanya kazi
9. Aje na kazi zisizopungua 5 alizozifanya.
10. Awe makini na muda.
11. Awe tayari kwenda mahala popote atakapohitajika kuwepo na ofisi.
12. Mwenye lugha nzuri ya kibiashara kwa wateja.
13. Awe na uwezo mzuri wa kutumia digital Cameras kama Canon Mark III 5D, Nikon 7100D, Sony A7rII N.k
14. Kupenda na kukubali kukosolewa.

Baada ya maombi, ataitwa kwenye interview itakayohusisha sifa zote hapo juu. MWISHO TAREHE WA MAOMBI NI 15/09/2017

Maombi yatumwe kwa Whatsapp no  +255758487173
Au email: *magilazmediatz@gmail.com

Tafadhali, usipige simu, tuma sms ya maombi kwa whatsapp na utapigiwa kujibiwa.

Share na nduguzo ili waione fursa hii.

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...