» » Kizimbani kwa kula nyama za binadamu

Watu wanne  wamefikishwa mahakamani nchini Afrika Kusini kujibu mashtaka ya kula nyama ya binadamu.

Aidha, watu hao wanakabiliwa pia na mashitaka ya kupanga mauaji.

Watu hao walibainika baada ya  mmoja wao kujipeleka katika kituo cha polisi na kusema kuwa amechoka kula nyama ya binadamu.

Alipohojiwa zaidi mtuhumiwa huyo alionyesha sehemu ya mguu na mkono wa binadamu ambavyo vilisalia baada ya kula sehemu nyingine za mwili.

Kisha polisi wakaandamana na mtuhumiwa  huyo mpaka kwenye  nyumba moja iliyopo katika mji wa KwaZulu-Natal na kushuhudia  miili mingine ya watu.

Kati ya watu hao wanne, wawili ni waganga wa jadi..

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn news

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles