Katika kikao hicho, katibu wa CCM wilaya Bi GRACE SHINDIKA alitoa maangalizo ktk uchaguzi kuwa wanachama wawe makini n Rushwa katika kuchagua viongozi w atakaoendana n kasi ya HAPA KAZI TU.Pia aliendelea kuwaeleza wagombea n wanachama k ujumla kujinasua ktk Makundi ambayo mwisho w siku yatapelekea magawanyiko ndani y chama.
Bi G Shindika aliendelea kutoa maelekezo kuwa hakuna Mgombea/kongozi anaeruhusiwa kuanza kampeni kabla y muda pamoja n hilo hairuhusiwi kufanya ziara k viongozi waliochukua fomu kwn baadhi hutumia njia hiyo kufanya kampeni.
Mwisho
Aliwasihi wasimamizi wa uchaguzi kata mara majina yatakaporudi, waanze uchaguzi mapema kabla y saa tano asb ili kumaliza mapema uchaguzi lkn pia mshindi lzm awe amepata nusu ya idadi kura.
WILAYA SINGIDA VIJIJINI JANA TAREHE19/7/2017 CCM YAFANYA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU Y WILAYA
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment