» » Trump apiga picha na wasichana wa Chibok

Rais Trump akipiga picha na wasichana wa Chibok siku kadhaa baada ya wasichana hao kufuzukatika masomo yao

Haki miliki ya pichaIKULU WHITE HOUSE
Image captionRais Trump akipiga picha na wasichana wa Chibok siku kadhaa baada ya wasichana hao kufuzukatika masomo yao
Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kupunguza ufadhili wiki aliyokutana na wasichana wawili waliotekwa na wapiganaji wa Boko Haram Kutoka Nigeria.
Habari hiyo imeongezea kwamba Ikulu ya Whitehouse bado haijatoa habari zozote kuhusu mkutano wa Trump na Joy Bishara na Lydia Pogu.
Inasema kuwa kitu kilichosemwa na Ikulu kuhusu ziara hiyo ni wakati walipochapisha picha hii katika mtandao wa facebook ya Ikulu ya Whitehouse ikisema kuwa ilikuwa picha ya siku.
Gazeti la People lilichapisha ujumbe wa Bi Bishara na Pogu uliosema kuwa ni miongoni mwa wasichana wachache waliofanikiwa kutoroka usiku wa kutekwa kwao na walisafirishwa hadi Marekani mnamo mwezi Agosti 2014 ili kusoma nchini humo.
Mwezi huu wasichana hao walipata vyeti vyao vya kufuzu na wanatarajiwa kujiunga na chuo kikuu cha Southeastern University mjini Florida.
Baada ya kukuzwa katika hali ya umasikini katika eneo la Chibok bila maji na kompyuta wote sasa wanasema kwamba maisha yao yamebadilika na ni kama ndoto.


Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS


tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...