Sehemu ulipo inaweza kuchangia mafanikio yako -au kushindwa kwako -Location Matters.
Kutambua hali ya mahali ulipo ni nzuri na ya hatua ya 1 ya mafanikio kwa mtu kwenye ufahamu
moja
Lakini kukubali ulipo tuu simple so bila kujua pakoje ni hatari sana
Elewa kuna maeneo mawili ambayo ni muhimu kuyafaham (location )
Luzu na Bethel
Luzu ni sehem izaayo mapooza yaani huwezi kufanikiwa ukikaa hapo ata iweje ni madhabau ya kushindwa. Everything you do you loose every plans bounce. And to achieve a little bit succes you will need to use a lot of resources ,energy? and time .
Bethel ni sehem nzuri ya mafanikio everything you do will be successful, within ad short time you can achieve a lot ,everything you thinks when you are at Bethel will always be positive !
Bethel ni kama madhabau ya ushindi ,always progressive no point of returning but there is always an open to door to prosper .and always impossible to see opportunity.
Refer Genesis 35 and 2King 2
Bethel and Zulu can stand as an Alta, foundation, location, a type of work ,activities, and even type of your sorrounding relative or friends.
Tambua yusufu alikaa Luzu miaka mingi akaishia kesi na misukosuko mingi na kupoteza Munda mkubwa bila kuwa na dira yeyote. Despite of a lot of efforts nothing happened till when came across Bethel everything becomes positively,promotions positively, thought/minds becomes positively and was able to see opportunities and work our his vision without failures .
Karibu kwa ushauri wa kiroho,business etc Elewa na pata ufahamu kwamba mambo ya rohoni yanatawala mambo ya mwilini yanayoonekana na mambo na vitu vinavyoonekana vilitokana na vile visivyoonekana yaani rohoni -Hii ni siri kubwa wengi hawajui.
Ibrahim the father of faith moved from various locations before his remarkable success and it was a result of understanding between LUZU and Bethel
What do this lesson of today means for you and me .
👉reassess what you are doing compare to what you want to achieve then find out if there is deficit or positive balance then take appropriate action without further delay
Where you are,what you are doing ,what you are thinking, friends you associate ,what you are planing now and the location you are right now may contribute you failure or your success big time or failure big time .
NOTE
Discipline is ability to say no foe negative things and say yes for positive things .
You need to gain power and certain amount of ability to let things goes forward .
I bless your day in Jesus Name
John 1:12
*Sir Lukumay*
_williamlukumay@yahoo.com_
No comments:
Post a Comment