» » Maafisa wa kampuni ya mafuta waliotekwa waokolewa Nigeria

Jeshi linafanya oparesheni maalumu sehemu hiyo ambayo kundi la Boko Haram hufanya mashambulizi mara kwa mara

Image captionJeshi linafanya oparesheni maalumu sehemu hiyo ambayo kundi la Boko Haram hufanya mashambulizi mara kwa mara
Jeshi la Nigeria limesema kuwa limefanikiwa kuwaokoa wafanyakazi wa kampuni ya mafuta waliokuwa wametekwa na kundi la wapiganaji la Boko Haram Kaskazini Mashariki mwa mji wa Borno.
Mmoja wa mashuhuda ambaye ni mwananchi anasema alichokiona ni kwamba baadhi ya wafanyakazi hao wameuawa na wengine bado hawajulikani walipo.
Jeshi linasema pia kuwa miili tisa imekutwa katika eneo hilo.
Watekwaji hao walikuwa wamepewa kazi ya kutafuta mafuta karibu na ziwa Chad.


Tuma picha/ habari what-sap 0769436440



tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn news

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles