» » Korea Kaskazini yajivunia jaribio ya kombora la masafa marefu Angalia alivyo lituma


Runinga ya Korea Kaskazini ikitangaza mafanikio ya majaribio ya ICBM

Korea Kusini inasema kuwa imefanikiwa kulifanya majaribio kombora la masafa marefu linalofahamika kama (ICBM)

Tangazo kwa njia ya runinga lilisema kuwa kombora hilo ambalo lilianguka katika bahari ya Japan siku ya Jumanne linaweza kushambulia popote pale duniani.

Lakini Marekani na Urusi zilisema kuwa kombora hilo lilikuwa la masafa ya wastani na halikuwa na tisho lolote kwa nchi zote mbili.

Marekani yatishia kuiadhibu Korea Kaskazini

Korea Kaskazini imeongeza kasi ya kufyatua majaribio makombora yake na nuklia na kikiuka marufuku ya badaza la ulinzi la Umoja wa Mataifa.

Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionTelevisheni ya Korea Kaskazini ilitoa picha za majaribio ya ICBM

China na Urusi ziliitaka Korea Kaskazini kuachana na mipango yake ya nuklia.

Tangazo kwenye televisheni ya taifa nchini Korea Kaskazini ilisema kuwa majaribio ya kombora hilo la Hwasong-14 yalishuhudiwa na kiongozi Kim Jong-un.

Telivisheni ilisema kuwa kombora hilolilipaa umbali wa kilomita 2,802 na kusafiri umbali wa kilomita 933 kabla ya kuanguka baharini.

Kombora hilo lina uwezo wa kusafiri umbali gani?

Swali kuu ni kombora hili linaweweza kufika umbali gani? Lina uwezo wa kuanguka nchini Marekani?

Trump: tutaidhibiti Korea Kaskazini

David Wright ambaye ni mwafisikia kutoka Marekani, anasema kuwa ripoti hizo ni za ukweki, kombora hili lizaweza kufika, umbali wa kilomita 6,700.

Uwezi huo utaliwezesha kufika Alaska lakini si majimbo mengine 48 ya Marekani.

Image captionRamani ya kuonyesha uwezo wa makombora ya Korea Kaskazini

Ja majirani na nchi zenye nguvu za nyuklia zina wasiwasi?

Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in, ametoa wito kwa baraza la ulinzi la Umoja wa Mataifa kuchukua hatua dhidi ya Korea Kusini.

Kombora la Korea Kaskazini lashindwa kupaa

Japan imesema kuwa uchokozi wa mara kwa mara kama huu ni kitendo kisichokubalika.

Image captionRamani ya Korea

Urusi na China wanasema kuwa majaribio haya hayakubaliki.

Marekani: Korea Kaskazini ilikusudia uchokozi

Rais wa China Xi Jinping yuko Moscow ambapo alifanya mazungumzo na Rais wa Urusi Vladimir Putin.

Viongozi hao wawili wameitaka Korea Kaskazii kuachana na majaribio yake.

Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionMajaribio hayo yalishuhudiwa na Kim Jong-un

Rais wa Marekani Donald Trump mara kawa mara ameitaka china ambaye ni mshirika wa karibu na Korea, kuishinikiza kuachana na mpango wake wa nuklia.

Katika suala la Korea Kaskaznia kuwa na uwezo wa kushambulia Marekani, mwezi Januari Trump alindika, "hio halitafanyika". Lakani hata hivyo wataalamuwanasema kuwa hilo huenda likawezekana, ndani ya miaka mitano au chini.

Image captionNjia ya ICBMImage captionSehemu za ICBM


Download Apps ya Gsn News au sema nikutumie Link kwa 0769436440

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...