» » Wavulana wavaa sketi kuenda shuleni Uingereza kupinga kunyimwa ruhusa ya kuvaa kaptula

Boys kitted out in summer skirts

Image captionWavulana wavaa sketi kuenda shuleni Uingereza kupinga kunyimwa ruhusa ya kuvaa kaptula
Takriban wavulana 30 wamevaa minisketi kuenda shuleni wakiandamana kupinga, baada ya kuambiwa kuwa hakuruhusiwa kuvaa kaptula.
Wanafunzi hao walikuwa wameomba ruhusa ya kubadilisha sare zao kutokana na kupanda kwa viwango vya joto..
Mwalimu mkuu wa shule, Aimee Mitchel alisema kuwa kaptula hazikuwa kati ya sare za shule.
Wanafunzi walisema kuwa hatua ya kufanya maandanao ilitokea kwa mwalimu mkuu ambaye alikuwa ametoa pendekezo hilo awali, licha ya wanafunzi kusema walihisi hakumaanisha hivyo kasisa.
boys in skirts
Image captionWavulana wavaa sketi kuenda shuleni Uingereza kupinga kunyimwa ruhusa ya kuvaa kaptula
Wanasema wana matumaini kuwa shule itaangalia upya sera za kuvaa katptula kutokana maandamano hayo.
"Kaptula kwa sasa si sehemu ya sare zetu kwa wavulana na siwezii kufanya mabadiliko yoyote bila ya kuaomba ushauri wa wazazi na familia zao.
"Hata hivyo kutokana na kuwepo majira ya joto, ninatarajia kuwepo mabadiliko siku za usoni," Bi Mitchell alisema.


Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn news

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...