» » Wagombea wa Trump washinda uchaguzi Marekani

Bi Karen Handel wa Democrat akifurahia ushindi wake

Haki miliki ya pichaEPA
Image captionBi Karen Handel wa Democrat akifurahia ushindi wake
Chama cha Republican kimeshinda uchaguzi muhimu wa bunge la Congress katika jimbo la Georgia ulioonekana na wengi kuwa kura ya maoni dhidi ya utawala wa rais Donald Trump.
Huku kura zote ikiwa zimehesabiwa, mgombea wa Republican Karen Handel alishinda kwa asilimia 53 huku mgombea wa Democrat akijipatia asilimia 47.
Katika Jimbo la Carolina Kusini, mgombea wa Republican Ralph Norman alimshinda mgombea wa Democrat Archie Parnell katika ngome ya wahafidhina.
Spika wa bunge Paul Ryan alimpongeza Bi Handel kwa ushindi huo mgumu.
Chama cha Democrat kilishindwa kwa kura chache katika maeneo ya Kansas na Montana mwaka huu.
Mgombea wa Republican Jon Ossoff baada ya ushindi wakeHaki miliki ya pichaEPA
Image captionMgombea wa Republican Jon Ossoff baada ya ushindi wake
Katika jimbo la Georgia matumizi ya uchaguzi huo yalifikia dola milioni 56 ikiwa ndio uchaguzi uliogharamikiwa katika historia ya Marekani.
Bwana Ossoff alishindwa kupata asilimia 50 ya kura zilizohitajika ili kuibuka mshindi katika uchaguzi wa jimbo la Atlanta mnamo mwezi Aprili, hivyobasi kulazimisha awamu ya pili ya uchaguzi dhidi ya Handel.
Democrats walitumai kutumia fursa ya kushuka kwa umaarufu wa Trump kushinda kiti cha Georgia.


Tuma picha/ habari what-sap 0769436440






BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS





tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...