» » Nchini Kenya tume ya uchaguzi imekutana na baadhi ya wagombea urais

Nchini Kenya tume ya uchaguzi imekutana na baadhi ya wagombea urais baada ya upinzani kuibua madai ya ukiukaji utoaji wa zabuni ya kuchapisha karatasi za kupiga kura iliyotolewa kwa kampuni moja ya Dubai. Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa siasa wa Kenya Profesa Tom Namwamba anayesema ni kama wapinzani nchini humo hawako tayari kwa uchaguzi kwa kuwa kila wakati hutafuta lawama na sababu. Bonyeza hapa kusikiliza mahojiano.

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles