» » Wengine watoroka jela DR Congo


Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionMagari yaliyokuwa yameegeshwa karibu na gereza la Kinshasa yalichomwa moto Jumatano

Wafungwa wengine wametoroka kutoka gerezaji siku mbili baada ya zaidi ya wafungwa 3,000 kutoroka kwenye gereza kuu nchini humo.

Wafungwa 60 wanadaiwa kutoroka kutoka jela ya Kasangulu, kilomita 40 kutoka mji mkuu Kinshasa.

Wafungwa wengi watoroka jela Ufilipino

Gereza hilo linapatikana katika eneo ambalo ni ngome ya madhehebu ya Bundu Dia Kongo.

Katika kisa cha awali, ambapo wafungwa wengi walitoroka gereza kuu mjini Kinshasa, kiongozi wa madhehebu hayo aliyekuwa amezuiliwa anadaiwa kuwa miongoni mwa waliofanikiwa kutoroka baada ya watu wenye silaha kuvamia jela hiyo.

Kwa sasa, maafisa wa serikali watafakari uwezekano wa kutuma jeshi kulinda magereza.

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles