» » Watu 22 wauawa kwenye mlipuko Manchester Uingereza


Haki miliki ya pichaPETER BYRNEImage captionWatu 19 wauwawa kwenye mlipuko Manchester Uingereza

Polisi katika mji wa Manchester nchini Uingereza wanasema watu 22 wameuawa na wengine 60 kujeruhiwa kwenye mulipuko uliotokea ndani ya ukumbi wa tamasha la muziki.

Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ametaja tukio hili kama kitendo cha ugaidi.

Cannes yapiga marufuku uvaaji wa bikini inayohusishwa na ugaidi

Ikiwa itathibitishwa kuwa ni shambulio la kigaidi, litakua mbaya zaidi kuwahi kukumba Uingereza tangu Julai mwaka 2005 wakati zaidi ya watu 50 walikufa kwenye misururu ya milipuko mjini London.

Haki miliki ya pichaPETER BYRNEImage captionWatu 19 wauwawa kwenye mlipuko Manchester Uingereza

Watu walioshuhudia mulipuko huo wa Manchester wamesema mwamziki wa Marekani Ariana Grande alikua amemaliza kuwatumbuiza mashabiki wake, wakati mulipuko mkubwa ulisikika na kutikisa ukumbi mzima.

Mashahidi wamesema kuona misumari iliyotapakaa sakafuni na harufu ya vilipuzi.

Haki miliki ya pichaPETER BYRNEImage captionWatu 19 wauwawa kwenye mlipuko Manchester Uingereza

Eneo kulikotokea mulipuko huo limezingirwa na polisi waliojihami wanaendelea kushika doria.

Trump ajitetea kuhusu Sweden

Wakati huo huo Waziri Mkuu Theresa May anatarajiwa kuongoza kikao cha dharura cha kamati ya usalama baadaye leo.

Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionWatu 19 wauwawa kwenye mlipuko Manchester Uingereza

Ripoti ambazo hazijathitishwa kutoka kwa maafisa wa Marekani ambao hawakutajawa zinasema kuwa shambulizi hilo lilifanywa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga.

Haki miliki ya pichaPETER BYRNE

Ukumbi wa Manchester ambao ulikuwa ukifahamika awali kama ukumbi wa wanaume, ndio ukumbua mkubwa zaidi mjini humo wenye uwezo wa kuwachukua watu 18,000

Barabara ya ukumbi huo unuangana na kituoacha treni cha Victoria kati kati mwa mji.

Haki miliki ya pichaPETER BYRNEImage captionWatu 19 wauwawa kwenye mlipuko Manchester Uingereza

Ukumbi huo hutumiwa kuandaa tamasha za manyota wakuu kama Ariana Grande nyota wa runinga mwenye umri wa miaka 23 ambaye sasa ni nyota wa muziki wa pop.

Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionWatu 19 wauwawa kwenye mlipuko Manchester UingerezaHaki miliki ya pichaPAUL ELLISImage captionWatu 19 wauwawa kwenye mlipuko Manchester Uingereza

Mshirikishe mwenzako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles