» » Waliokabiliana na ufisadi FIFA waachishwa kazi

Cornel Borbely na Hans-Joachim Eckert walikuwa wamemaliza kipindi chao cha miaka minne


Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionCornel Borbely na Hans-Joachim Eckert walikuwa wamemaliza kipindi chao cha miaka minne

Uongozi wa shirikisho la soka duniani FIFA umeamua kuwaachisha kazi mchunguzi mkuu wa maswala ya maadili na jaji wake ambao walihusika pakubwa katika kukabiliana na ufisadi.
Maafisa hao Cornel Borbel y na Hans-Joachim Eckert walisaidia kumuondoa madarakani aliyekuwa rais wa shirikisho hilo wa muda mrefu Sepp Blatter na mkuu wa shirikisho la soka barani Ulaya Michel Platini.
Wawili hao wamepinga hatua hiyoambayo wanasema kuwa iinasitisha mpango wa mabadiliko katika shirikisho hilo.
Waliwashtumu maafisa wa ngazi za juu katika shirikisho hilo kwa kuweka mbele maslahi yao ya kisiasa badala yale ya siku za usoni ya shirikisho hilo.
Uamuzi huo wa baraza kuu la Fifa ulitangazwa nchini Bahrain siku ya Jumanne siku mbili kabla ya kufanyika mkutano wa 67 wa shirikisho hilo.

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS


tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...