» » Trump ataka vita dhidi ya itikadi kali katika dini


Haki miliki ya pichaAFPImage captionBwana Trump alianza siku ya leo kwa kufanya mikutano na viongozi wakiwemo marais wa Abdul Fatah el Sisi wa Misri na Mfalme wa Bahrain.

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa kuna haja ya kukabiliana na itikadi kali katika dini ya kiislamu wakati akitoa hotuba yake nchini Saudi Arabia.

Akiongea kwenye kwenye mji mkuu wa Riyadh, alisema kuwa vita dhidi ya itikadi kali sio vita kati ya imani tofauti bali vita kati ya mambo mazuri na yale maovu.

Trump ambaye yuko kwenye ziara yake ya kwanza katika nchi za kigeni, alizungumza wakati wa mkutano wa viongozi wa kikanda.

Trump kufanya ziara yake ya kwanza nje ya MarekaniBashir aalikwa kwenye mkutano ambao utahudhuriwa na TrumpMwanamfalme akatwa shingo Saudi Arabia

Hata hivyo hotuba yake Trump inaonekama kama njia ya kutafuta uungwaji mkono katika vita dhidi ya wanamgambo wa Islamic State.

Hatua yake ya hivi majuzi ya kupiga marufuku safari ya kwenda Marekani kwa raia wa mataifa 7 yenye waislamu wengi duniani, ilisababisha hasira kote katika mataifa ya kiislamu.

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles