» » Putin na Trump kupunguza migogoro duniani

Haya ni maongezi ya kwanza tokea Trump Kushambulia vikosi vya serikali ya Syria vinavyoungwa mkono na Putin

Image captionHaya ni maongezi ya kwanza tokea Trump Kushambulia vikosi vya serikali ya Syria vinavyoungwa mkono na Putin
Rais wa Marekani na Urusi wameongea kwa njia ya simu kujadili namna ya kushughulikia migogoro mbalimbali inayoikabili dunia kwa sasa.
Taarifa kutoka ikulu ya marekani zinasema kuwa Donald Trump na Vladimir Putin wamekubaliana kuwa vita vinavyoendelea Syria vimefikia katika hatua mbaya na pande zinazohasimiana hazina budi kukaa pamoja na kumaliza mapigano hayo.
Viongozi hao wawili pia wamejadili namna ya kufanya kazi kwa pamoja kuliangamiza kundi la IS pamoja na suala la nyuklia la Korea ya Kaskazini.
Haya ni maongezi ya kwanza kwa viongozi hao wawili, tokea Trump alipoishambulia Syria inayoingwa mkono na Urusi.


Tuma picha/ habari what-sap 0769436440

BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS

tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles