» » Europa:Man U yang'aa ugenini yaifunga Celta Vigo 1-0

Marcus
Image captionMfungaji wa goli la Man U,Marcus Rashford,
Klabu ya soka ya Manchester United usiku wa kuamkia leo imechomoza na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Celta Vigo katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya Euefa Europa Ligi.
Goli pekee la Man U limewekwa kimiani na mshambuliaji kinda anayekuja kwa kasi Marcus Rashford mnamo dakika ya 67 kipindi cha pili cha mchezo.
Manchester United yaibamiza Celat VigoHaki miliki ya pichaEPA
Image captionManchester United yaibamiza Celta Vigo
Baada ya mchezo huo Timu hizo zitarejeana tena Alhamisi wiki ijayo huko Old Trafford Maskani ya Manchester United.

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS


tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles