» » Urusi yasisitiza uhusiano na Marekani umedorora

Urusi yasisitiza uhusiano na Marekani umedorora

Waziri wa maswala ya kigeni nchini Urusi Sergei Lavrov
Image captionWaziri wa maswala ya kigeni nchini Urusi Sergei Lavrov
Waziri wa mambo ya nje wa Urusi, Sergei Lavrov amekiri kwamba uhusiano kati ya Moscow na Marekani umedorora sana.
Hata hivyo baada ya mkutano na mwenzake wa Marekani Rex Tillerson, bwana Lavrov amesema Urusi ilikua tayari kwa mazungumzo.
Waziri huyo amesema dunia inakua mahali bora ikiwa pande zote zitashirikiana na kuwa na sauti moja .
Na katika Umoja wa Mataifa, Urusi ilipiga kura ya turufu dhidi ya pendekezo kutaka Syria ishirikiane na uchunguzi kuhusu shambulio la silaha za kemikali.
Pendekezo hilo liliwasilishwa na Marekani, Uingereza na Ufaransa.
Naibu balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa Vladimir Safronkov amesema pendekezo hilo linahalalisha shambulio la Marekani katika kambi ya wanahewa wa Syria wiki jana.

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440



BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en



tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles