» » Nigeria ya zuia Wanaume maskini kuzuiwa kuoa wake wengi Nigeria

Wanaume maskini kuzuiwa kuoa wake wengi Nigeria

Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpyaSambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako

Image captionMuhammad Sanusi II

Spika wa bunge katika jimbo lililo kaskazini mwa Nigeria la Kano, amesema kwa umma utaombwa kutoa maoni yake kuhusu mswada wenye lengo la kuwazuia wanaume maskini kuoa zaidi ya mke mmoja.

Alhassan Rurum aliiambia BBC kuwa viongozi na wasomi wataombwa ushauri kuhusu ni tata t haswa atatambuliwa kuwa maskini.

Sheria ya kuzuia wanaume kuoa wake wengi kutangazwa NigeriaWaliokamatwa kwa kufanya mapenzi nje ya ndoa waachiliwa

Pendekezo hilo lenye utata lilitolewa na Muhammad Sanusi II, ambaye ni Emir wa Kano, kuhakisha kuwa wanaume wana familia ambazo wanaweza kuzitunza.

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles