» » MWIMBAJI Baraka The Prince Azidi Kuwatia Hasira Timu Kiba Kwa Kumpost

MWIMBAJI Baraka The Prince Azidi Kuwatia Hasira Timu Kiba Kwa Kumpost Diamond

Ni kawaida yangu kila siku kukuletea stori zote zinazotokeea kwenye mitandao ya kijamii, Na leo April 10 2017 Kupitia ukurasa wa Instagram ya Mkali kutoka Bongoflevani Baraka the Prince ameupost wimbo mpya wa Diamond Platnumz.

Mashabiki wengi wamekuwa wakicomment kwa kushangazwa na Baraka kupost wimbo wa Diamond kwa sababu wengi  wanajua Baraka yuko kwenye lebel moja na Alikiba hivyo asingeweza kupost chochote kuhusu Diamond Platnumz, wengine wamecomment kwa kutopendezwa na post hiyo wengine wamepost kumpongeza.

‘Barakahtheprince_Chanzo cha kutengenezewa maden na makaka poa..ila mama alinifunza kukaa kimya..eeehh mungu niokoe vita hii..#CrownPrince #IamPrince‘



Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles