» » LRA siyo tisho kwa Uganda

LRA siyo tisho kwa Uganda

Haki miliki ya pichaAFPImage captionJoseph Kony kiongozi wa waasi wa LRA

Jeshi la Uganda limesema kwamba maafisa wake wa kijeshi wameanza kuondoka katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati ambapo wamekua wakikabiliana na waasi kutoka Uganda wa kundi la 'Lord's Resistance Army'-LRA.

Kundi la LRA linaloongozwa na Joseph Kony limelaumiwa kwa kutekeleza uhalifu wa kibinadamu dhidi ya raia wa Kaskazini mwa Uganda katika miaka ya 90 hadi 2000.

Kony na wapiganaji wake walifurushwa Uganda na kukimbilia nchi jirani ya Sudan Kusini.

Baadaye walihamia katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati kufuatia shinikizo za kimataifa.

Jeshi la Uganda limesema LRA haina uwezo tena wa kuanzisha vita dhidi ya Uganda, baada ya nguvu zake kupungua.

Mada zinazohusiana

Uganda

Mshirikishe mwenzako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles