» » Je! Una Mfaham Msanii CHIPUKIZI wa Mwanza anaye itwa FREE BOY??

Kama kawaida Yetu 4sn news hatumpiti Mtu hata mmoja leo 4sn news tumeenda mpaka kwa Msanii chipkizi wa hapahapa alianza kujitambulisha na kusema hivi,

Mimi ni free boy msanii wakanda ya ziwa, mimi kiukweli mziki umeweza
kunifkisha sehemu kubwa,

Pia najuhudi zangu nikubwa sana. ila namshukulu mungu kwakunipa kipaji nafanya vizulj na watu wanapenda.

watanzania wa naenjoy mziki mzuli na kitu kizuli

kwasahivi nanyimbo mbili, ya kwanza itwayo forever ya pili itwayo mtamu mtamu mtanzania.

mwenzangu naitaji uwepo wako kwasababu bila wewe siwezi kua msani mzuli na kufkia malengo yangu aliendelea kueleza huku akitaka wewe ambaye nimala yako ya Kwanza kusikia basi akaomba fanya kumtafta kwa anuani hizi hapa chini ili umshauri na kumtia moyo uwezavyo pamoja na kutowa support yako
asant sana good new ila
kumbuka naitaji support
Instagram.aim free boy
facebook.japhety simba
twett free boy
asant
4sn newz kufkisa habali zangu Thank you .

Wasiriana na 4sn news ukihitaji kuonana na si kwa namba 0769436440
Karibu what's app

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles