Kwa mala ya Kwanza kabisa kikundi Cha uimbaji Cha Maranatha singer's kutoka Mwanza kinakuletea Tamasha kubwa na la Aina yake litakalo ambatanisha na uzinduzi Mkubwa wa Aina yake siku hii jumapili ya tarehe ni 09/04/2017 Katika chuo kikuu Cha saut ndani ya ukumbi wa ( M9) hall vikundi vingine vitakuwepo siku hiyo Kama VICTORY SINGER'S, THE GLORY, V.O.C, THE ANTIOKIA VOICE, HOPE VOICE, ADVOCATE,TUCASA SAUT CHOIR, TUCASA BUGANDO CHOIR, NEEMA MKENKA, THOMAS GAMBA, MR'S JOSEPHINE LUSANYU NA AMOS DISIRE BUNANI na vingine vingi vitakuwepo usipange kukosa siku hiyo hakuna kiingilio hi bure muda kuanzia saa 6:00-mchana 11:30-jioni panda magari yaendayo Nsumba Malimbe utafika bilĂ shida
Download Apps ya 4sn news kwa play store
Upate habari zote Kwenye Simu yako kila zitokeapo
Wasiriana na si 0769436440
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment