» » Mjue Msanii chipukizi anaye kuja kwa kasi ya ajabu Lau wa John



Katika harakati za 4sn news kuhakikisha inawafikia kila Mtu na kila jamii leo 4sn imetembelea Msanii Mkubwa Anaye kuja kwa kasi ya ajabu ukipenda muite 

 -Laulent_John Ali Maarufu kama Lau Wa John Amesema Sio Wote Wanao Mjua Na Wanajua Kazi Zake Kwa Msisitizo Akasema Ana Nyimbo Zaidi Ya Sita Ambazo Zote Ni Classic Zina Kiwango Kinacho Takiwa Nyimbo Zake Zote ili Kuzipata Unaingia YouTube Una search Lau Wa John Apo Ndio Utakapo Ziona Kazi Zake Na Kujua Uwezo Wake.
           Akasema Pia Saiv Ameachia Ngoma Mpya Ambayo Ameshilikiana Na Wasanii Wenzake Kutoka Mwanza Akiwemo Lee Classic Kwa Msisitizo Akasema Anafulai Sana Na Alishangaa Sana Make Akutegemea Kama Itapokelewa Ivi Na Watanzania Hakua Na Imani Kabisa Na Huu Wimbo Ila Kinacho Mshangaza Zaidi Ni Wimbo Ulivyo Ingia Mtaani Tu Akajua Kweli Mashabiki Waliitaji Kitu Kama Ichi Kasema "ASANTE"
_Lau Wa John Ni Msanii Ambae Kaanza Kwa Mfano Mzuri Jijini Mwanza Hakuna Msanii Ambae Aliwai Kufanya Ivi Alivyo Fanya Yy Kwanza Video Classic Zote Na Na Hana -Management- Akasema Je Angekua Na Management Angefanya Nn!!!! 
    _Natamani Sana Kufanya Ngoma Na Ben P,Belle 9,Maua Sama,Youngkille,Na Alikiba,______Ninawakubali Sana.
Instagram jina Langu natumia @lauwajohn_tz.     Fb Lau Wa John
     TUKUTANE NYANZA FESTIVAL CCM kirumba Mwanza tareh 16 pasak.

Wasiriana na 4sn news what's app 0769436440/call 0659750504 ukihitaji tukutembelee pia tutakuja Asante

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles