» » Biashara ya pembe za Faru ruksa Afrika kusini

Biashara ya pembe za Faru ruksa Afrika kusini


ndovuHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionKifaru
Mahakama ya katiba ya Afrika kusini imelipinga jaribio la serikali la kutaka kuweka katazo katika biashara ya pembe za faru katika matumizi ya ndani.
Matokeo yake ni kwamba pembe hizo za faru zinaweza kuuzwa ndani ya nchi huku katazo katika biashara hiyo kimataifa likiwa bado linaendelea.
Watunzaji wa wanyama pori hao wamedai kuwa, kuruhusu biashara hiyo kuendelea kufanyika kihalali kutaweza kupunguza idadi ya faru wanaouwawa kutokana na kwamba pembe za faru zinaweza kukatwa na kuacha wanyama hao hai.
Hata hivyo wahifadhi wa wanyama pori hawakubaliani na hatua hiyo.
Tuma picha/ habari what-sap 0769436440




BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en





tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles