» » Arsenal yaifuata Chelsea fainali ya FA kwa kulaza Manchester City

Arsenal yaifuata Chelsea fainali ya FA kwa kulaza Manchester City

ArsenalHaki miliki ya pichaPA
Image captionWachezaji wa Arsenal wakishangalia goli la ushindi
Washika mitutu wa London klabu ya Arsenal imetinga fainali ya kombe la kombe Fa baada ya kuwachapa Manchester City kwa mabao 2-1 .
Mchezo huo wa nusu fainali ulichukua dakika 120 baada ya timu hizo kutoshana nguvu kwa sare ya bao 1-1 katika dakika tisini za muda wa kawaida.
Man CityHaki miliki ya pichaEPA
Image captionSergio Aguero akishangilia goli la kuongoza la alilolifunga
Man City ndio walioanza kuzifumani nyavu za Arsenal kwa goli la dakika ya 62 liliowekwa kambani na mshambuliaji wake mahiri Sergio Aguero Kun.
Beki wa kushoto wa Arsenal Nacho Monreal alisawazisha bao lilo katika dakika ya 71 ya mchezo .
Alexis Sanchez aliipeleka timu yake fainali kwa goli alilofunga katika dakika ya 101, kwa kufuatia patashika ya mpira wa kutengwa iliyotokea kwenye goli la City.
Fainali ya mchezo wa kombe la FA utapigwa Mei 27 katika dimba la Wembley ambapo Arsena watakipiga na Chelsea kuwania ubingwa wa kikombe hicho.

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS






tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...