» » Amnesty: China iliwanyonga watu wengi zaidi duniani


Amnesty: China iliwanyonga watu wengi zaidi duniani

Pakistan imepunguza idadi hii kwa asilimia 75 tokea mwaka 2015
Image captionPakistan imepunguza idadi hii kwa asilimia 75 tokea mwaka 2015
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International, limesema idadi ya watu waliopewa adhabu ya kifo imepungua kwa kiasi kikubwa duniani.
Mwaka jana, idadi hiyo ilipungua kwa zaidi ya theluthi moja.
Lakini Amnesty imesema kwamba kiwango hicho hakihusishi Uchina, ambayo inatuhumiwa kuwa na idadi kubwa ya adhabu ya kifo.
Inakadiriwa kwamba, idadi ya waliopata adhabu ya kifo nchini Uchina mwaka jana, ni kubwa zaidi kuliko duniani kote.
Jendwali linaloonyesha nchi zinazoongoza duniani
Image captionJendwali linaloonyesha nchi zinazoongoza duniani
Kwa mara ya kwanza kwa zaidi ya muongo mmoja, Marekani haipo katika kundi la nchi tano zinazotumia adhabu ya kifo ambazo ni Uchina, Iran, Saudi Arabia, Iraq na Pakistan.
Nchi ya Belarus na Mamlaka za Palestina zilirejesha adhabu ya kifo mwaka wa 2016. Botswana na Nigeria nazo zilitekeleza hukumu ya kwanza ya kifo mwaka wa 2013.
Tuma picha/ habari what-sap 0769436440

BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en

tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles