» » Wakazi Japan wajiandaa dhidi ya shambulio la Korea Kaskazin

Wakazi Japan wajiandaa dhidi ya shambulio la Korea Kaskazin

Image captionWakaazi wa Japan wajiandaa dhidi ya shambulio lolote la Korea kaskazini

Wakaazi wa mji mmoja ulioko kaskazini magharibi mwa pwani ya Japan, wameendesha zoezi la kukabliana na hali ya hatari na kujiandaa kwa shambulizi la aina yoyote, ikiwa Korea Kaskazini itaamua kuwashambulia kwa makombora.

Zaidi ya watu 100 walihusika katika zoezi hilo lililofanyikia maeneo ya Oga huko Akita, kwa kukimbilia hifadhi shuleni na katika vituo vya kuwahudumia jamii.

Walipokea tahadhari kupitia simu zao za mkononi.

Mapema mwezi huu, makombora matatu ya Korea Kaskazini yaliangushwa katika maeneo ya maji yaliyoko pwani ya Japan.

Mada zinazohusiana

Asia

Mshirikishe mwenzako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn news

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles