» » Wafanyakazi wa UN raia wa Malaysia waliozuiliwa Korea Kaskazini wandoka

Wafanyakazi wa UN raia wa Malaysia waliozuiliwa Korea Kaskazini wandoka


Kuuawa wa Kim Jong-nam kumezorotesha uhusiano kati ya Malaysia na Korea KaskaziniHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionKuuawa wa Kim Jong-nam kumezorotesha uhusiano kati ya Malaysia na Korea Kaskazini
Wafanyakazi wawili wa Umoja wa Mataifa ambao ni miongoni mwa raia wa Malaysia 11 waliozuiwa kuondoka Korea Kaskazini sasa wameondoka nchini humo.
Wawili hao wanaoajiriwa na shirika la mpnago wa chakula duniani (WFP) waliwasili mjini Beijing leo Alhamisi.
Korea Kaskazini na Malaysia siku ya Jumanne zote ziliwapiga marufuku raia wa nchi zao kuondoka kufuatia mzozo unahusu kuuawa kwa ndugu wa kambo wa kiongzoi wa Korea Kaskazini.
Kim Jong-nam aliuawa na kemikali mbaya kwenye uwanja wa ndege wa Kuala Lumpur.
Malaysia haijailaumu Korea Kaskazini moja kwa moja kwa hilo lakini kuna uvumi kuwa Korea Kaskazini ilihusika.
Kim Jong-nam aliomba msaada kwenye uwanja wa ndege muda mfupi kabla ya kushambuliwa kemikaliHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionKim Jong-nam aliomba msaada kwenye uwanja wa ndege muda mfupi kabla ya kushambuliwa kemikali
Wachunguzi wameitaka Korea Kaskazini kusalimisha washukiwa watatu ambao wanaaminiwa kijificha ndani ya ubalozi wa Korea Kaskazini nchini Malaysia.
Korea Kaskazini imekana vikali kuhusika na mauaji hayo ni kuhusu ni nani anastahili kudai mwili wa Kim.
Katika taarifa fupi WFP ilithibitisha kuwa wafanyakazi wao sasa wako China.
"Wafanyakazi hao ni wa kimataifa na sio waakilishi wa nchi zao," WFP ilisema.
Video ya mtoto wa Kim imeibukaHaki miliki ya pichaAFP
Image captionVideo ya mtoto wa Kim imeibuka
Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en


tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...