» » Trump akumbana na wakati mgumu kupinga uhamiaji

Trump akumbana na wakati mgumu kupinga uhamiaji


Zuio hilo lilisababisha maandamano nchi nzima
Image captionZuio hilo lilisababisha maandamano nchi nzima
Majaji nchini Marekani wamempa wakati mgumu Rais Donald Trump baada ya kupinga sheria mpya ya uhamiaji inayowazuia wageni kutoka baadhi ya nchi, nyingi zikiwa za Kiislam kuingia Marekani.
Zuio hilo la majaji limekuja ikiwa ni saa chache kabla ya sheria hiyo kuanza kutumika rasmi.
Hakimu katika jimbo la Hawaii akishirikiana na wanasheria wa serikali wamesema zuio hilo litawanyima haki waislam wa Marekani sambamba na wahamiaji.
Trump amewaambia wananchi wa Nashville kuwa atapeleka kesi hiyo mahakama za juu
Image captionTrump amewaambia wananchi wa Nashville kuwa atapeleka kesi hiyo mahakama za juu
Trump amesema kuwa zuio hilo la makahama ni la kushangaza na sio haki na kupanga kuipeleka kesi hiyo katika mahakama za juu zaidi.

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440

BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en

tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles