» » Shakira ashtakiwa kwa wizi wa WimbO

Shakira ashtakiwa kwa wizi wa WimbO

Image captionShakira na Vivez wadaiwa kuiba kipande cha wimbo wa msanii wa Cuba Livan

Mwanamuziki kutoka Cuba amewasilisha malalamishi dhidi ya nyota wa muziki wa Pop Shakira na Carlos Vivez akiwatuhumu kuchukua kipande kidogo cha wimbo wake alioandika miaka kumji iliopita.

Wimbo uliopata ummarufu mkubwa Bicicleta ulioimbwa na na Shakira na Vives ulishinda tuzo za Gramyy miongoni mwa mataifa ya Latino mwaka uliopita.

Msanii huyo wa Cuba, Livan anadai kwamba Shakira na Vivez walinakili mshororo na kipande kidogo cha kibwagizo cha wimbo wake wa 1997 Yo Te Quiero Tanto {I Love You So much} iliochapishwa na kampuni ya muziki ya Sony.

Mahakama ya Uhispania ambapo Shakira anaishi itachunguza madai hayo.

Kitengo cha habari cha AFP kinasema kuwa kundi la Shakira limekataa kuzungumza kuhusu kesi hiyo.

Mshirikishe mwenzako 

Pakuwa  App ya 4sn news kwa android 0769436440

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...