Hospitali zaanza kuwafuta kazi madaktari Kenya
Haki miliki ya pichaAPImage captionMadaktari wamekuwa kwenye mgomo kwa siku 95 nchini Kenya.
Hospitali nchini Kenya zimeanza kuwafuta kazi madaktari wanaogoma na kuwaondoa kutoka wa nyumba zao.
Huduma kwenye hospitali za umma zimetatizika kutokana mgomo ambao ulianza mwezi Disemba, huku madaktari na wahudumu wengine wa afya wakitaka mshahara zaidi na mazingira bora ya kufanya kazi.
Lakini hatua hiyo ya kuwafuta kazi madaktari inakuja wakati chama cha madaktari kinasema kuwa kimetia sahihi nyaraka zinazohitajika ili kumaliza mgomo wao.
Madaktari Kenya wakataa nyongeza ya serikaliMahakama yawaagiza madaktari wanaogoma kurudi kazini KenyaViongozi wa madaktari Kenya wafungwa jelaMadaktari wapewa siku 5 kumaliza mgomo KenyaKenya yapeleka madaktari wa jeshi kuhudumu hospitali za umma
Madaktari nao wanaitaka serikai kufanya hivyo.
Lakini serikali inasema kuwa siku ya mwisho ya kukubali asilimia 50 ya nyongeza ya mshahara ilipita siku mbili zilizopita.
Sasa hospitali zimeanza kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya madaktari ambao wamekuwa kwenye mgomo kwa siku 95.
Mshirikishe mwenzako
Ushauri 0769436440
No comments:
Post a Comment