» »Unlabelled » WACHUNGAJI 22 WABADILISHIWA VITUO VYAO VYA KAZI - "ECT"


WACHUNGAJI 22 WABADILISHIWA VITUO VYAO VYA KAZI - "ECT"

 



Jimbo la Mashariki kati mwa Tanzania la kanisa la waadventista wasabato limetangaza mabadiliko la vituo vya kazi kwa wachungaji wake  22 walio ndani ya Jimbo hilo.

Mkurugenzi wa Idara ya mawasiliano wa jimbo hilo Mchungaji Andrew Izungo amesema kuwa mabadiliko hayo  yametokana na kikao cha Mwisho wa Mwaka cha kamati kuu ya Jimbo  ya mashariki kati mwa Tanzania katika kanisa la Waadventista Wa Sabato (ECT)

Mchungaji Izungo amewataja waachungaji hao kuwa ni pamoja na;

Pr.Shauri-Kondoa,

Pr.Martinus-Mlali,

Pr.Manyasi-Pwaga,

Pr.Bunga-Mpwapwa,

Pr.Shayo-Kitungwa,

Pr.Kibasisi-Gairo,

Pr.Lawi-Kilosa,

Pr.Imani-Mikese,

Pr.Shashnale-Ifakara,

Pr.Bigambo-Kunduchi,

Pr.Moses - Bunju,

Pr.Charles Mjema -Mwenge,

Pr.Stephen Letta-Tegeta,

Pr.David Mbaga-Dodoma,

Pr.Bomani-Kizota,

Pr.Ombeni-Kirombelo,

Pr.Methsela (mpya)Mtimbila.

Pr.Saguda-Malinyi,

Pr.Nzotta Imanuel - Mlimba,

Pr.Masunya-Kinondoni,

Pr.Kibaso-Jamaica,

Pr.Petro Mganda-Morogoro Mjini

  

Uncle Prince 

Copy from 

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles