» »Unlabelled » Rais Salva Kiir aitisha mazungumzo ya kitaifa

Rais Salva Kiir aitisha mazungumzo ya kitaifa


Rais Kiir amekana taarifa za jeshi lake kuhusika na matendo ya kihalifu
Image captionRais Kiir amekana taarifa za jeshi lake kuhusika na matendo ya kihalifu
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, ameitisha mazungumzo ya kitaifa yatakayomaliza vita vya vya miaka mitatu vya wenyewe kwa wenyewe.
Akihutubia bunge mjini Juba, amesema jopo la wataalam litaongoza mazungumzo hayo.
Hata hivyo, hakumtaja hasimu wake, ambae alikuwa makamu wa Rais, Riek Machar, ambae alikimbia baada ya mapigano kuzuka mnamo mwezi July.
Afisa wa umoja wa mataifa anaeshughulikia masuala ya haki za bindamu nchini Sudan Kusini ametahadharisha kuzuka upya kwa mapigano ambayo yatahatarisha usalama wa eneo zima.
Rais Kiir amekana taarifa za mara kwa mara zinazotuhumu vikosi vyake kuhusika na mauaji ya halaiki na ubakaji.
Asante kwa kutembelea Blog yetu washirikishe na wenzako, Pia tunaomba maoni yako hapa au tupigie kwa (+255) 0769436440 Karibu Tena Read More

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles