» »Unlabelled » Mitandao kudhibitiwa kuepuka uchochezi

Mitandao kudhibitiwa kuepuka uchochezi


mitandao kudhibitiwaImage copyrightAFP
Image captionMitandao kudhibitiwa
Kampuni kubwa za kiteknolojia Duniani zimeanzisha programu mpya itakayosaidia kupunguza kasi ya uchochezi na misimamo mikali mitandaoni.
Twitter, Facebook, na Microsoft watakapo baini kuwepo kwa taarifa za aina hiyo wata zitambulisha kwa alama maalumu.
Suala hili litahimiza umakini ili kurahisisha utambuzi wa taarifa chochezi zitatokea katika mitandao yao.
Kampuni hizo zimearifu kuwa mchakato huo hauta jiendesha wenyewe ili kuepusha upotoshaji usiotarajiwa kwa waandishi na taarifa nyingine zinazo ashiria vurugu japo kuwa hazi chochei moja kwa moja
Asante kwa kutembelea Blog yetu washirikishe na wenzako, Pia tunaomba maoni yako hapa au tupigie kwa (+255) 0769436440 Karibu Tena

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...