» »Unlabelled » Watu 40 waliotekwa Nigeria waachiliwa

Watu 40 waliotekwa Nigeria waachiliwa


Vyombo vya ulinzi vimesema vinaendelea kufuatilia sakata hilo
Image captionVyombo vya ulinzi vimesema vinaendelea kufuatilia sakata hilo
Gavana wa jimbo la Zamfara Kaskazini Magharibi mwa Nigeria Abdulaziz Yari ameiambia BBC kuwa raia 40 waliotekwa na watu wenye silaha wameachiliwa.
Watekaji hao ambao ni wafugaji walisema wangewaachia mateka iwapo ng'ombe wao walikamatwa wangearudishwa.
Gavana huyo amethibitisha kuwa baadhi ya ng'ombe waliotekwa wamerudishwa kwa wafugaji hao.
Alipoulizwa kwanini watekaji hao hawajakamatwa licha ya kuuawa kwa mateka, gavana huyo amejibu kuwa majadiliano ya amani yalipelekea kuokoa maisha ya watu hao 40.
Asante kwa kutembelea Blog yetu washirikishe na wenzako, Pia tunaomba maoni yako hapa au tupigie kwa (+255) 0769436440 Karibu Tena

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles