Wakazi wa Dar kupata huduma ya bure ya Wi-Fi 3 Oktoba 2016 Mshirikishe mwenzako Image copyright AFP Image caption Mpango wa kutoa huduma ya Wi-Fi ni sehemu ya mpango mkubwa wa awamu tano wa kustawisha miji Makamu wa rais nchini Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangaza mpango wa kuzindua mradi ambao utapelekea kuwekwa kwa huduma ya mtandao wa Wi-Fi katika maeneo ya umma na yale ya burudani mjini Dar es Salaam. Utekelezaji wa mradi huo wa kampuni ya mawasiliano nchini humo utapanua huduma za mawasiliano ili kuweza kuwafikia watu wengi zaidi na hivyo basi kuimarisha uchumi. ''Tunawapongeza kwa kutekeleza mradi huu na tunatumai upandaji wa miti katika maeneo tofauti mjini ikiwemo maeneo ya burudani, watu wataweza kupata huduma ya mtandao," alisema kupitia taarifa, kwa mujibu wa gazeti la serikali ya Daily News. Kwa upande wake Kamishna wa Jimbo la Dar es Salaam Paul Makonda amesema kuwa mradi huo ni mmoja wa awamu tano za juhudi za serikali kuimarisha huduma kadhaa hususan mawasiliano na huduma za mtandao kwa wote. Utekelezaji wa mradi huo ndio mwanzo wa safari ya kujenga miji na miji mikuu katika kiwango cha 'Smart City' nchini Tanzania. Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako Facebook Messenger Asante kwa kutembelea Blog yetu washirikishe na wenzako, Pia tunaomba maoni yako hapa au tupigie kwa (+255) 0769436440 Karibu Tena
Home
»
»Unlabelled
»
Topics:
About IVST TANZANIA
Hi my name is Gasto Alex Didas
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE
Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...
Popular Articles
-
Operesheni ya kuukomboa mji wa Raqqa yaanza Image caption Operesheni ya kuukomboa mji wa Raqqa yaanza Wapiganaji wanaosaidiwa na Mar...
Popular Posts
-
1.Kufanya mapenzi katika mtindo (style) ambayo itafanya mbegu za kiume zikae kwa muda mrefu ukeni na hivyo nyingi kupand...
-
WENYEVITI 400 na wajumbe 130 wa serikali za mitaa mkoa wa Dar es Salaam wamejivua madaraka kwa kutoshiriki kutoa huduma kwenye mitaa yao, ...

No comments:
Post a Comment