» »Unlabelled » Tanzania kuchunguza saratani ya kizazi kwa simu

Tanzania kuchunguza saratani ya kizazi kwa simu Saa moja iliyopita Mshirikishe mwenzako Image caption Tanzania imeanzisha programu ya simu ambayo inachunguza saratani ya kizazi Watafiti kaskazini mwa Tanzania wametengeza programu ambayo wauguzi na madaktari wanaweza kuitumia kuchunguza saratani ya kizazi miongoni mwa wanawake ,ambayo wanasema ni ya kwanza na ya kipekee duniani. Inahitaji madkatari kupiga picha mfuko wa uzazi na simu aina ya smartphone na baadaye kutuma picha hiyo kwa kutumia programu hiyo kwa mtaalam wa matibabu katika kliniki maalum. Daktari katika kliniki hiyo watachunguza picha hiyo na bila kupoteza wakati kutuma tiba kupitia programu hiyo kwa mfanyikazi huyo wa kiafya akitoa maelezo kuhusu tiba hiyo. Image caption Programu ya simu inayochunguza saratani ya kizazi yazinduliwa Ijapokuwa kuna tataizo ya mawasiliano ya simu,programu hiyo inaruhusu wafanyikazi hao wa kiafya kupiga picha hizo na kuzihifadhi kabla ya kuzituma baadaye. Nchini Tanzania,zaidi ya wanawake 4000 hufariki kila mwaka kutokana na saratani ya mfuko wa uzazi ,kulingana na shirika la afya duniani WHO. Saratani ya uzazi inaweza kuzuiwa. Mshirikishe mwenzako Asante kwa kutembelea Blog yetu washirikishe na wenzako, Pia tunaomba maoni yako hapa au tupigie kwa (+255) 0769436440 Karibu Tena

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles