» »Unlabelled » Wachimba migodi wakwama chini ya ardhi Afrika Kusini

Wachimba migodi wakwama chini ya ardhi Afrika Kusini


Mshirikishe mwenzako
Kuna maelfu ya wachimba migodi haramu nchini Afrika KusiniImage copyrightAP
Image captionKuna maelfu ya wachimba migodi haramu nchini Afrika Kusini
Wachimba migodi haramu waliokuwa wamekwama chini ya ardhi kwenye mgodi mmoja nchini Afrika Kusini tangu siku ya Jumatano wameokolewa.
Polisi wanasema kuwa wanaume hao watatu walibuka kutoa ardhini mapema leo wakiwa wamejawa na vumbi, na kisha kutoroka wakihofia kukamatwa kwa kuendesha shughuli haramu.
Shughuli za uokoaji zinesitishwa kutokana na kuripotiwa kwa moto
Image captionShughuli za uokoaji zinesitishwa kutokana na kuripotiwa kwa moto
Ripoti zaidi zinasema kuwa juhudi za uokoaji zimesitishwa kutokana na kuwepo moto chini ya ardhi, lakini jamaa za wachimba migodi waliokwama wanataka shughuli hiyo kuendelea.
Maelfu ya wachimba migodi wasio na vibali hufanya kazi kwenye migodi mingi ya dhahabu, maeneo yanayozunguka mji wa Johannesburg.
ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU WATARIFU NA WENZAKO KARIBU TENA

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles