» »Unlabelled » Mabaki ya MH370 yapatikana nchini Madagascar

Mabaki ya MH370 yapatikana nchini Madagascar


Mshirikishe mwenzako
Bwana Gibson anasema kuwa haijulikani ikiwa alama hizo zilisababishwa na moto kabla ya baada ya ajaliImage copyrightBLAINE GIBSON
Image captionBwana Gibson anasema kuwa haijulikani ikiwa alama hizo zilisababishwa na moto kabla ya baada ya ajali
Sehemu tano za mabaki ya ndege ambazo zinaweza kuwa za ndege iliyotoweka wa shirika la ndege la Malaysia ya MH370 zimepatikana nchini Madagascar.
Sehemu mbili zinaonekana kuonyesha alama ya kuchomeka ambazo ikiwa zitathibitishwa, itakuwa ndiyo mara ya kwanza alama kama hizo kupatikana.
Ndege ya MH370 iliyokuwa safarini kutoka Kuala Lumpur kwenda Beijing, ilikuwa na watu 239 wakati ilitoweka mwaka 2014.
Ndege hiyo inakisiwa kuanguka eneo la kusini mwa habari ya Hindi.
Sehemu hizo ziligunduliwa na mtafuta mabaki Blaine Gibson, ambaye awali amegundua mabaki mengine ya ndege hiyo.
ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU WATARIFU NA WENZAKO KARIBU TENA

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles